49. Shauli alipofariki, Baal-hanani mwana wa Akbori alitawala badala yake.
50. Baal-hanani alipofariki, Hadadi kutoka Pai alitawala badala yake na jina la mkewe Akbori lilikuwa Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.
51. Naye Hadadi akafariki.Wakuu wa makabila ya Edomu walikuwa Timna, Alva, Yethethi,
52. Oholibama, Ela, Pinoni,
53. Kenazi, Temani, Mibsari,
54. Magdieli na Iramu. Hao ndio wakuu wa makabila ya Edomu.