30. Benaya Mpiratoni, Hidai wa ku timitsinje ta Gaasi;
31. Abialiboni M-aribati, Azmaveti Mbahurimi;
32. Eliaba Mshaliboni wa ana a Jaseni, Jonatani;
33. Sama Mharari, Ahiamu mwana wa Sarari Mharari;
34. Elifaleti mwana wa Ahasibai, mwana wa Mmaacha, Eliamu mwana wa Ahitofeli Mgiloni;
35. Hezra wa ku Karimeli, Paarai M-aribi;